Saturday, December 16, 2017

HITIMISHO MKUTANO MWANZA ILEMELA

hatimae  tunaelekea kumaliza mkutano wa injili ya yesu christo katika viwanja vya mlima wa utukufu  asante mungu kwa kututia nguvu nakutuwezesha kumaliza mkutano salama

Friday, December 8, 2017

kutkutana na mwalim sophimary matingisa

almost ktk a boy's lesson with the economy almost ktk our church Eagt Kimara mishö

MKUTANO MKUBWA INJILI MWANZA TZ

Kanisa la Mlima wa utukufu limekuandalia MKUTANO mkubwa Kuazi Tarehe 10/12/2017 watu Wote mnakalibishwa kama ww unasumbuliwa na magonjwa sugu basi ni zamu yako mhubili.....Dr  matingisa kutoka dar es salaam atakuombea na utakua huru Kwa jina la yesu christo watu Wote  mnakalibiswa

MKUTANO MKUBWA JIJINI MWANZA KWA MARA NYINGINE

NI  MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU ULIOAZA 11/11/2018 MWANZA ILEMELA MKUTANO HUO UNAHUBILIWA NA DR WILE MATINGISA WALETE WATU WENYE SHIDA M...