Friday, December 2, 2016

MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA TANZANIA

MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA NA DR MATINGISA
MKUTANO WA INJILI JJIINI MWANZA

watu wote kwenye mkutano wa injili utakaofanyika kwenye viwanja vya kanisa la EAGT mlima wa utukufu kuazia TAREHE 18|12|2016 hadi tarehe 25|12|2016,mda ni saa tisa kamili hadi saa kumi na mbili jioni. waleteni watu wenye shida mbali mbili na yesu atawaweka huru kabisa.pia mkutano huo utapambwa na waimbaji wa mziki wa injili kuto jijini dar es salaam wanaitwa GSS na wengine wengi


Dr Wile Matingisa, wa dar es salaam anawaalika watu wote kwenye mkutano wa injili utakaofanyika kwenye viwanja vya kanisa la EAGT mlima wa utukufu kuazia TAREHE 18|12|2016 hadi tarehe 25|12|2016,mda ni saa tisa kamili hadi saa kumi na mbili jioni. waleteni watu wenye shida mbali mbili na yesu atawaweka huru kabisa.pia mkutano huo utapambwa na waimbaji wa mziki wa injili kuto jijini dar es salaam wanaitwa GSS na wengine wengi


Tuesday, March 8, 2016

MAOMBI YA SIKU 30

KANISA LA EAGT KIMARA JESUS MIRACLE CENTRE LINAKUTANGAZIA MAOMBI YA KUFUNGA KWAZIA TAREHE 01/3/2016 HADI TAREHE 01/4/2016 MAMBO YA KUOMBEA   TUNAOMBEA INCHI YETU YA TANZANIA.UCHAGUZI WA ZAZIBAR.PIA TUNAJIOMBEA SISI WENYEWE .

Tunaombea safari za mikutano ya mchungaji wetu ambayo itafanyika huko mtwara mwanza na dodoma karibuni sana

Friday, February 19, 2016

WANAFUZI WA WAFUNGULIWA KUTOKA KWENYE NGUVU ZA GIZA

KAULI MBIU YA MWAKA 2016 NI KUWALETA MAELFU KWA YESU KRISTO

MCH WILLIAM MATINGISA WA KANISA LA EAGT JESUS MIRACLE CENTRE WA KIMARA DAR ES SALAAM, AMESEMA KAULI MBIU YA MWAKA HUU NI KUWALETA WATU KWA YESU,MIPANGO AMEISEMA KATIKA IBADA YA MWAKA MPYA AMESEMA ATASHILIKIANA NA KANISA ZIMA KWA UJUMLA ILI KUHAKIKISHA WANAFIKA NYUMBA KWA NYUMBA MTAA KWA MTAA VITONGOJI VYOTE KWA YESU.IKIWA UNAHITAJI KUJIUNGA NASI FIKA KWENYE KANISA LETU LA EAGT JESUS MIRACLE CENTRE KWA MAELEZO ZAIDI MUNGU WA MBINGUNI             AKUBARIKI 

DR.MATINGISA AKIWA KWENYE INJILI MKOAN MWANZA TANZANIA

Dr.matingisa wa kanisa la EAGT kimara Dar es salaam amefanya mkutano mkubwa wa injili ya yesu kristo mkoani mwanza hakika mungu ni mwema kwa watu wake,wengi wameshuhudia miujiza yesu kun,a mtoto mmoja kipofu aliweza kuona kabisa na wengine wengi wameponywa magonjwa sugu na sasa wapo huru kabisa.all thanks to bishop gecha and his  mlima wa utukufu church mwanza Tanzania,mmetupokea vizuri mungu wa mbinguni awabariki

MATUKIO YA MIKUTANO YA DR WILE MATINGISA MKOANI MWANZA




MKUTANO MKUBWA JIJINI MWANZA KWA MARA NYINGINE

NI  MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU ULIOAZA 11/11/2018 MWANZA ILEMELA MKUTANO HUO UNAHUBILIWA NA DR WILE MATINGISA WALETE WATU WENYE SHIDA M...