Friday, May 1, 2015

CHANGIZO KUBWA IBADANI JPILI HII KANISANI EAGT KIMARA

MCHUNGAJI WA KANISA LA EAGT KIMARA JESUS MIRACLE CENTRE ANAWATANGAZIA WASHIRIKA NA WATU WOTE KUWA KUTAKUWA NA CHANGIZO KUBWA LA KUSAIDIA MAENDELEO YA KANISA TAWI LILILOKO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR ES SALAAM. (HILI NI KANISA TAWI CHINI YA KANISA HILI).

TAREHE: 3/5/2015
SAA 4.00 ASBH-7.30 MCHANA


ILI KANISA TAWI HILO LIKUE LINAHITAJI KUTEGEMEZWA KWA MICHANGO YA KANISA MAMA (EAGT KIMARA) NA WATU WOTE.

HIVYO UNAOMBWA KUJA NA MCHANGO WAKO MZURI WENYE LENGO LA KUTEGEMEZA KANISA HILO LIWEZE KUTOA HUDUMA KAMA ZA KANISA MAMA.

KARIBUNI NYOTE KATIKA IBADA YA JUMAPILI NA KATIKA CHANGIZO HILI.

MUNGU AWABARIKI SANA

MABORESHO KATIKA BLOG YA KANISA LETU/BLOG NEW AMMENDMENTS

KWA WASHIRIKA NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA HUDUMA ZA KANISA LA EAGT KIMARA JESUS MIRACLE CENTRE CHINI YA WATUMISHI WA MUNGU...DR, BISHOP WILLY MATINGISA NA REV. SOPHYMARRY MATINGISA,

KWAMBA,

BLOG YETU HII INAKWENDA KUWA YENYE MUONEKANO MZURI ZAIDI NA TAARIFA ZA MARA KWA MARA KUTOKA VYANZO MAKINI KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA KANISA HILI.

TUNAWAALIKA WATU WOTE KUFUATILIA BLOG HII KWAKUWA NDIO ITAKUWA CHANZO KIZURI CHA KUPATA TAARIFA MHIMU ZA KANISA NA MAARIFA YA MUNGU KILA WAKATI.

KARIBUNI

MKUTANO MKUBWA JIJINI MWANZA KWA MARA NYINGINE

NI  MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU ULIOAZA 11/11/2018 MWANZA ILEMELA MKUTANO HUO UNAHUBILIWA NA DR WILE MATINGISA WALETE WATU WENYE SHIDA M...