Sunday, November 11, 2018

MKUTANO MKUBWA JIJINI MWANZA KWA MARA NYINGINE

NI  MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU ULIOAZA 11/11/2018 MWANZA ILEMELA MKUTANO HUO UNAHUBILIWA NA DR WILE MATINGISA WALETE WATU WENYE SHIDA MBALI MBALI KAMA VILE WENYE KUTESWA NA NGUVU ZA GIZA WATAOMBEWA NA KUWEKWA HURU NA YESU MTENDA MIUJIZA NA WAGONJWA WA NAO WAOMBEWA BURE BILA GHARAMA YEYOTE ILE



Saturday, December 16, 2017

HITIMISHO MKUTANO MWANZA ILEMELA

hatimae  tunaelekea kumaliza mkutano wa injili ya yesu christo katika viwanja vya mlima wa utukufu  asante mungu kwa kututia nguvu nakutuwezesha kumaliza mkutano salama

Friday, December 8, 2017

kutkutana na mwalim sophimary matingisa

almost ktk a boy's lesson with the economy almost ktk our church Eagt Kimara mishö

MKUTANO MKUBWA INJILI MWANZA TZ

Kanisa la Mlima wa utukufu limekuandalia MKUTANO mkubwa Kuazi Tarehe 10/12/2017 watu Wote mnakalibishwa kama ww unasumbuliwa na magonjwa sugu basi ni zamu yako mhubili.....Dr  matingisa kutoka dar es salaam atakuombea na utakua huru Kwa jina la yesu christo watu Wote  mnakalibiswa

Friday, December 2, 2016

MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA TANZANIA

MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI MWANZA NA DR MATINGISA
MKUTANO WA INJILI JJIINI MWANZA

watu wote kwenye mkutano wa injili utakaofanyika kwenye viwanja vya kanisa la EAGT mlima wa utukufu kuazia TAREHE 18|12|2016 hadi tarehe 25|12|2016,mda ni saa tisa kamili hadi saa kumi na mbili jioni. waleteni watu wenye shida mbali mbili na yesu atawaweka huru kabisa.pia mkutano huo utapambwa na waimbaji wa mziki wa injili kuto jijini dar es salaam wanaitwa GSS na wengine wengi


Dr Wile Matingisa, wa dar es salaam anawaalika watu wote kwenye mkutano wa injili utakaofanyika kwenye viwanja vya kanisa la EAGT mlima wa utukufu kuazia TAREHE 18|12|2016 hadi tarehe 25|12|2016,mda ni saa tisa kamili hadi saa kumi na mbili jioni. waleteni watu wenye shida mbali mbili na yesu atawaweka huru kabisa.pia mkutano huo utapambwa na waimbaji wa mziki wa injili kuto jijini dar es salaam wanaitwa GSS na wengine wengi


Tuesday, March 8, 2016

MAOMBI YA SIKU 30

KANISA LA EAGT KIMARA JESUS MIRACLE CENTRE LINAKUTANGAZIA MAOMBI YA KUFUNGA KWAZIA TAREHE 01/3/2016 HADI TAREHE 01/4/2016 MAMBO YA KUOMBEA   TUNAOMBEA INCHI YETU YA TANZANIA.UCHAGUZI WA ZAZIBAR.PIA TUNAJIOMBEA SISI WENYEWE .

Tunaombea safari za mikutano ya mchungaji wetu ambayo itafanyika huko mtwara mwanza na dodoma karibuni sana

Friday, February 26, 2016

WANAFUZI WATESWA NA MAPEPO MASASI MTWARA








Dr matingisa akiwa katika mkutano MIKUBWA  masasi mtwara akiambatana

na ishala za miujiza ya yesu kristo wanafuzi wengi
 Wamefunguliwa nakuwekwa huru kabisa


MKUTANO MKUBWA JIJINI MWANZA KWA MARA NYINGINE

NI  MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU ULIOAZA 11/11/2018 MWANZA ILEMELA MKUTANO HUO UNAHUBILIWA NA DR WILE MATINGISA WALETE WATU WENYE SHIDA M...